JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Kwa sababu uchumi mzima kwa %90 ni umeshikwa na wazungu makabulu na si watu weusiKwa nini Afrika Kusini?
Nipo na angaria documentary inayohusu Libya,kupitia Aljazeera,
Wazungu hawawezi kuruhusu nchi yoyote ya kiafrika,ukiacha Afrika kusini,kuwa huru kiuchumi,na kwenda kinyume na Sera za kichumi za kimagharibi,Ghadhafi alijaribu,kuikomboa Afrika,kwa kutumia marighafi zake,kama mafuta,wazungu ikawakera,wakamuondoa,
Huu no ukweli mchungu,
Afrika KUSINI ameridhia MIKATABA yote ya KIMAGHARIBI ikiwemo na ule MKATABA unaotambua haki za MASHOGA (kundi la wale wanao jihusisha katika MAPENZI ya jinsia moja)Kwa nini Afrika Kusini?