Mil 3.5 kumbe hii biashara inalipa hivi?BOB MOVIE wameniambia ili wanipe movie zao zote wanahitaji 3.5M
inalipa sana sana sana sana,ila ili ikulipe lazima ujipange kama zilivyo biashara zingine zozote zile,na hii biashara ina hitaji mtaji not less than 1M kuianza.Mil 3.5 kumbe hii biashara inalipa hivi?
Good Drama.netNataka niwe napakua mwenyewe Korean series,je ni site gani ambayo inaweka hizo series nipakue for free charge?
Naonaga movie point nyingi tu ila sikujua kama kuna deal mpaka za milioni. Kumbe iko vyema.inalipa sana sana sana sana,ila ili ikulipe lazima ujipange kama zilivyo biashara zingine zozote zile,na hii biashara ina hitaji mtaji not less than 1M kuianza.
ukitaka kujua inalipa hawa viumbe niliwafata bei yao wakanianzia 5M ila ktk ku burgain na kulia lia ndio nikashuka nao hadi 3.5M,ila kabla ya hapo nilikua nimejiandaa mfukoni nina 200k hapo nikawa naamini hawawezi chomoa ila baada ya kufika kuonyeshwa movie zilizopo,ilibidi ile 200k nivunge nayo kama sina kitu.
investment yao si ya kitoto mr trabomeka,hawa raia Wanaingiza not less than 500k per day maana single movie wanauza 1000 series wanauza 2000,na wateja zao ni wa kuweka movie za 10k,20k kwenda mbele.
Take a simple look ya hzi office zao kisha ndio utajua Movie zina hela au hazina hela
View attachment 1383043
View attachment 1383043View attachment 1383044
kwa ajili ya delivery kuna bajaji imetulia pale,wewe piga simu unahitaji movie kuanzia 50k chombo inawashwa unaletewa ulipo.
View attachment 1383047
Hapo ni nnje,sasa njooo Ndani ya OFFICE angaliia palivyo halafu ndio utajua duniani kuna watu wanakula maisha kwa biashara za kiboya sana
View attachment 1383054View attachment 1383055
ashindwe mwenyewe
iko vyema sana sema biashara zingine ni za kujipanga haswaNaonaga movie point nyingi tu ila sikujua kama kuna deal mpaka za milioni. Kumbe iko vyema.
Ila ungejipanga uwe unashusha mwenye kwa mabundle ya usiku.iko vyema sana sema biashara zingine ni za kujipanga haswa
Kwenye movie dupication huwezi i avoid ila unaweza hakikisha inapungua,ninapochukua sehemu tofauti huwa nalenga ni kitu gani nataka ili kukwepa hiyo duplication,hapa nahitaji ONLY SERIES.Sasa hauoni a kununua kwa watu tofauti tofauti kitu kile kile mwisho wa siku itakuwa ni duplication ?
sawa
naendelea kushusha,sio kwamba sina nimekaa tu HAPANA nina series 3TB hizo ni ONLY SERIES sijamix na single hata 1,sasa kwakua nahitaji kwa ajili ya biashara lazima wakati naendelea zishusha,zingine naendelea Kuzinunua,Malengo yangu ni kumiliki movie za 100TB by december this year.Ila ungejipanga uwe unashusha mwenye kwa mabundle ya usiku.
Kwahio tangazo lako ni misleading / halijakamilika unataka series ambazo utauliza ni zipi kwanza, pili kipimo cha 1TB bila kusema quality husika huoni hapo pia ni misleading ? hapo unaweza kupata series nyingi zaidi au chache according to qualityKwenye movie dupication huwezi i avoid ila unaweza hakikisha inapungua,ninapochukua sehemu tofauti huwa nalenga ni kitu gani nataka ili kukwepa hiyo duplication,hapa nahitaji ONLY SERIES.
ktk upande huo bado siko vizuri,hivyo ni rahisi kwangu kujua series gani tayri ninayo ipi sina,sio kwamba mtu aje na 1TB halafu nichukue bila kukagua,hapana.