Natoa angalizo, CHADEMA mnapozidiwa kimbinu na CCM msikimbilie kujificha kwenye kichaka cha Hayati Magufuli haitawasaidia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naona kila CHADEMA inapobanwa kisayansi na CCM wanaanza kumtaja taja Shujaa Magufuli

CHADEMA pambaneni na hali zenu hii ni awamu ya 6 Katibu mkuu ni Dr Nchimbi siyo Bashiru na Mwenezi ni Komredi Makalla siyo Polepole.
 
Wewe wakati mwingine kama unaliwa vile eleza Chadema wamefanyaje na wamemhusisha Magufuli kivipi siyo umekunya hata kujachamba unakimbilia kuanzisha thread isiyo na kichwa wala miguu.
 
yaani shujaa kwa wajinga unataka ujinga wao uwe msimamo wa werevu?
Hatuwezi kuukumbatia ujinga eti kwa sababu ni ada ya wengi
Magufuli hakuwa shujaa, alikuwa dhalimu!, na kamwe hawezi kuwa role model wa jamii iliyostaarabika
 
Shoga katika ubora wako!!
 
Wewe wakati mwingine kama unaliwa vile eleza Chadema wamefanyaje na wamemhusisha Magufuli kivipi siyo umekunya hata kujachamba unakimbilia kuanzisha thread isiyo na kichwa wala miguu.
Huyu ndiye think Tank wa CCM. We angalia thread zake zote huwa ni za mtu mwenye very very very low IQ

Hakuna sayansi ambayo CCM wanayo isipokuwa mabavu ya polisi!
 
Wewe wakati mwingine kama unaliwa vile eleza Chadema wamefanyaje na wamemhusisha Magufuli kivipi siyo umekunya hata kujachamba unakimbilia kuanzisha thread isiyo na kichwa wala miguu.
Msamehe bure, akiwa hajameza dawa zake anakuwa hayuko sawa, mpe muda kidogo tu akili itamkaa sawa
 
Naona kila CHADEMA inapobanwa kisayansi na CCM wanaanza kumtaja taja Shujaa Magufuli

CHADEMA pambaneni na hali zenu hii ni awamu ya 6 Katibu mkuu ni Dr Nchimbi siyo Bashiru na Mwenezi ni Komredi Makalla siyo Polepole.
Comrade !

Hiyo sayansi ndio kuwatuma polisi wawakamate viongozi wa Chadema!!?

Mbinu iliyotumika ni primitive stage ya kujitetea ni sawa wewe hapo umng'ate mtu unaepigana nae!!

Tunaendelea kujidhalilisha!
 
Naona kila CHADEMA inapobanwa kisayansi na CCM wanaanza kumtaja taja Shujaa Magufuli

CHADEMA pambaneni na hali zenu hii ni awamu ya 6 Katibu mkuu ni Dr Nchimbi siyo Bashiru na Mwenezi ni Komredi Makalla siyo Polepole.
Toka bwana nenda zako huko
 
Huyu ndiye think Tank wa CCM. We angalia thread zake zote huwa ni za mtu mwenye very very very low IQ
Unamjua wewe huyo jamaa? Unasema hayo kwa kuwa humjui. Kwa kukumegea tu ni kwamba jamaa ni science graduate, amefanya kazi serikalini kwa mafanikio makubwa, na ni mjasiliamali mzuri sana. Tuulize sisi tunaomjua personally!
 
Sisi tunam rate kwa mada zake za kipumbavu
 
Back
Top Bottom