Natoa hili onyo kwenu kama ndugu, tusije laumiana siku za usoni

Natoa hili onyo kwenu kama ndugu, tusije laumiana siku za usoni

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Mtoto wangu anakua, kanazidi kuwa karembo. Kanapendeza kamechukua uzuri wa mama yake kabisa. Nakaona nakaangalia nasema hiiiii, baghoshaaaa!

Sasa nmeona niwe mstaarabu.niwe muungwana. Wanasema "ada ya mja hunena uungwana ni vitendo" msije sema hamkuonywa. Mimi sipendi masikhara na mambo ya kishenzi kwa mtoto wangu. Ntakufunga miaka 30 lakini hutoenda huko ukiwa mzima, lazima ntakuwa nimekutia kilema cha maisha kwanza.

Lazima ntakutia alama ambayo kila ukitizama utakumbuka kuwa ulionesha kumtamani au kumtongoza tu mtoto wangu uendelee kukumbuka tabia zako za kibazazi huku ukiwa ndani.

Wakati huo huwezi kukaa vizuri sababu makalio yako yatakuwa yamechakazwa sana ile mbaya yaani wewe unajisaidia bila hata kujua.

Haya nawaambia kwa upole tu kama ndugu yenu ili baadaye utakapopostiwa kwenye magroup ya WhatsApp na social media mbalimbali usishangae.

Ni hayo tu ndugu zanguni.
 
Wewe ungetishiwa au ungefanyiwa hivyo huyo mama yake mrembo ungemuoa? Halafu unavyosema hivyo huyo mtoto unataka umuoe wewe ule kuku na mayai?

Halafu inaonesha wewe ulikuwa muharibifu kwa mabinti wa wenzako sasa unajifanya mkali, umesahau mla vya wenzie na vyake pia huliwa?

Baba piga moyo konde mwanao ataliwa tuu km wewe unavyokula na ulivyokuwa unakula watoto wa wenzako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atatinduliwa vizuri tu ,😂😂😂😂😂😂
 
Zamu yako ku agonize. Kumbuka ulivyowafanya binti za wenzio enzi zako.
 
Itabidi uwe unampakua mwenyewe kitu ambacho hutaki kuamini nikwamba nae ana type zake za watu anaotaka kuunganisha nao viungo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi kama wew, walikuwepo sanaa

Na watoto wao walibeba mimba wakiwa nyumbani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huwezi mchunga mtoto wa kike kwa namna yeyote ile, tumia akil, Only counseling and guidance about adolescence +maneno ya busara ndiyo vitamsaidia.

Hizo nguvu na mapanga katumie jeshin huko mtaani akil


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiandae tu kisaikolojia. Muosha huoshwa.
 
Ataliwa tu ,tena atakuwa anapeleka mzigo kwa jomba wala hata hafuatwi wewe unakuja shtuka mimba tayari,anyway kama bado kanakuwa ngoja na sisi tulip early 20's tuongeze juhudi za kusaka hela kwa kasi kaki hit maturity tu tunakanunulia chumvi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka picha ya hako katoto kako tuone kama ni ''Mashallah'' kweli...usije ukawa unajisifu kumbe mtoto hata haga hana..kama ni kazuri naleta mahari, kuku wawili na bata mmoja mkuu kama kako vizuri ntaongezea na sungura mmoja.
 
Ndugu omba tu mtoto wako akuwe vzr kwa kufata misingi ya kumuogopa Mungu! ... Sali sana umuombe Mungu amkuze na awe na maadili mema, ! ...

Btw unaweza kutupiga biti hivyo halafu kesho ukaja na Uzi 'RIP [emoji24][emoji24] My cute Angel'...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom