nimeangalia wasanii wengi wa kiume wale wakorofi korofi, wengi wao wana watoto wa kike.
Mfano
1. Chibu Dangote
2. Lil wayne
3. Birdman
4. Chris Brown
5. T-Raww
Etc etc
Tena ntakadatisha na mapenzi mpaka kachanganyikiwe afu nakaacha..nakaambia ukitaka turudiane Choma nyumba yenu Moto....utaonaa balaa Sasa la Moto apo kwako