Natoa huduma ya kuprint viroba

Natoa huduma ya kuprint viroba

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
625
Natumaini nipo poa kabisa!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatoa huduma ya kuprint viroba vya kg 50,25,10,5 kwa bei nafuu kabisa ... Ofisi ipo Tandale sokoni namba ya simu ni 0674 864 371...
Viroba unaweza kuweka unga au nafaka mbalimbali Bei zetu ni nafuu sana
Kg50 ni 800
Kg25 ni 600
Kg 10 ni 480
Kg 5 ni 470
 
Waonyeshe Wateja Mfano Wa Hicho Kiloba Kinavyoonekana
 
IMG-20241025-WA0011.jpg
 
Natumaini nipo poa kabisa!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatoa huduma ya kuprint viroba vya kg 50,25,10,5 kwa bei nafuu kabisa ... Ofisi ipo Tandale sokoni namba ya simu ni 0674 864 371...
Viroba unaweza kuweka unga au nafaka mbalimbali Bei zetu ni nafuu sana
Kg50 ni 800
Kg25 ni 600
Kg 10 ni 480
Kg 5 ni 470
Mkuu mimi naweza kupata mifuko ya 25kg ambayo imetumika au iko rejected
 
Back
Top Bottom