mizigo mikoa yote
Member
- Dec 2, 2023
- 19
- 28
Mkuu nataka kusafirisha mbuzi 10 toka Shyinga mpka Njombe Unaweza kuwa na connection.Huduma ya kusafirisha mizigo mikubwa na midogo kutoka Dar kwenda mikoa yote Tanzania ipo hapa.
Tunatuma mizigo kwa njia ya ndege,bus na malori.
Huduma zetu ni nafuuu. Kabisa na uhakina usalama mkubwa
Ofisi zetu zipo kariakoo na shekilango urafiki.
NB: Kampuni imesajiliwa kutuma mizigo mikoa yote tanzania
Kampuni Yako inaitwaje? Mawasiliano yenu Yako wapi, au wakufate PM?Huduma ya kusafirisha mizigo mikubwa na midogo kutoka Dar kwenda mikoa yote Tanzania ipo hapa.
Tunatuma mizigo kwa njia ya ndege,bus na malori.
Huduma zetu ni nafuuu. Kabisa na uhakina usalama mkubwa
Ofisi zetu zipo kariakoo na shekilango urafiki.
NB: Kampuni imesajiliwa kutuma mizigo mikoa yote tanzania
ukiona tangazo ka kampuni ila jina halitajwi address "kamili" haitajwi then akili mtu wanguKampuni Yako inaitwaje? Mawasiliano yenu Yako wapi, au wakufate PM?