Natoa huduma ya kutengeneza account ya paypal katika nchi zisizokubali ikiwemo Tanzania

Travis Walker

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
323
Reaction score
334
Habari, wakuu. Natumai muko wazima na afya kamili. Ninapenda kuwajuza ya kwamba natoa ofa ya kutengeneza business account ya paypal na kuweza kupokea hela straight katika credit card yako au katika acount yako ya mpesa kupitia M-PESA MasterCard. Hii itafanya kazi duniani kote bila ya usumbufu wowote.

VITU VINAVYOHITAJIKA ILI KUPATA PAYPAL BUSINESS ACCOUNT
1. NIDA au leseni ya udereva. Unaweza kutuma namba za kitambulisho pia.
2. Hakikisha una credit card kama vile visa au mastercard au unaweza kutumia mastercard ya mpesa pia.
3. Kama unamiliki biashara basi hakikisha una TIN ya TRA na leseni ya biashara.
4. Malipo ni Tsh 100, 000 Tsh in Cash

MAWASILIANO : 0745 521 126
Hii ni fursa iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda nchini Tanzania. Kuweza kulipwa online na kupokea hela katika simu au bank yako haikuwa shughuli ndogo.
Asante.
 
kwahiyo kujaza jaza data ndo hiyo Laki moja unataka
Unafahamu ya kwamba Tanzania Paypal haitumiki kwa kupokea hela kutoka nchi tofauti. Mimi natengeneza Paypal account amabyo iko verified na una uawezo wa ku add hadi credit card za benki? Huko kujaza data ndio kuna waumiza watu vichwa
 
Aiseee eti laki moja kujaza tu taarifa online paypal hairuhusiwi tz lakini mtu akiitaka anaweza pata kwa gharama ndogo mnoo na ikawa safe kwan anaifungua mwenyewee
 
Aiseee et laki moja kujaza tu taarifa online paypal hairuhusiwi tz lakn mtu akiitaka anaweza pata kwa gharama ndogo mnoo na ikawa safe kwan anaifungua mwenyewee
Mkuu hauelewi Paypal wewe, mimi ndio nishatumia na nishapigwa pini mara kibao na hasa nikifika kwenye dollars 100 na kuendelea kwasababu tu haiko varified.

Paypal account iliyokuwa verifiable in Tanzania ni personal tu yaani ya kufanya manunuzi na sio kupokea hela.
 
Unafahamu ya kwamba Tanzania Paypal haitumiki kwa kupokea hela kutoka nchi tofauti. Mimi natengeneza Paypal account amabyo iko verified na una uawezo wa ku add hadi credit card za benki? Huko kujaza data ndio kuna waumiza watu vichwa
Shida sio hicho unachofanya, shida bei yako. Wewe unataka laki moja usawa huu kwa kitu ambacho tukikuhoji bei ya resources au malighafi utatumia kutoa hiyo huduma hautaweza kutupa majibu hapa.....

Hebu kuwa fair.... Ukiwasaidia vijana wenzako kwa bei ya kitonga unasaidia na taifa lako kuingia katika mifumo ya kitechnolojia na kuimarisha shughuli za maendeleo.

Vijana wa kisasa mkipata kaujuzi fulani tu basi mtataka kupiga faida ya asilimia 1000 wakati unajua wazi unafanya ulanguzi.....sio poa....
 
Sasa na mimi nina connection ya mtu wa BOT pale ningekufanyia mchongo ukae nae mzungumze namna ya kufanya paypal iwe accessible Tanzania ila kama unataka hiyo connection nipe milioni 5 ukapige hela.....
 
Huyu jamaa in msee..nge kujaza kitambulisho na kubuni address feki anataka kilo
Mkuu unafahamu ya kwamba kujaza adress na location feki ni kwamba paypal account haitokuwa verified. And you won't have any to withdrawal
 
Shida sio hicho unachofanya, shida bei yako. Wewe unataka laki moja usawa huu kwa kitu ambacho tukikuhoji bei ya resources au malighafi utatumia kutoa hiyo huduma hautaweza kutupa majibu hapa.....

Hebu kuwa fair.... Ukiwasaidia vijana wenzako kwa bei ya kitonga unasaidia na taifa lako kuingia katika mifumo ya kitechnolojia na kuimarisha shughuli za maendeleo.

Vijana wa kisasa mkipata kaujuzi fulani tu basi mtataka kupiga faida ya asilimia 1000 wakati unajua wazi unafanya ulanguzi.....sio poa....
Mkuu, unaelewa kwamba kwa wanzetu mentors wanachaji $1000+ per na ukiangalia hawana malighafi na wala resource than only skill.
 
Unafahamu ya kwamba Tanzania Paypal haitumiki kwa kupokea hela kutoka nchi tofauti. Mimi natengeneza Paypal account amabyo iko verified na una uawezo wa ku add hadi credit card za benki? Huko kujaza data ndio kuna waumiza watu vichwa
Je wanaonunua bidhaa kutumia PayPal refund wanapateje? Maana mimi nilipata pesa baada ya mzigo wangu kutokunifikia na PayPal walituma pesa na nikaiona kwenye account yangu ya benki
 
If you add receive card doesn’t not mean you receive money you idiot!

The issue is adding an account and receive money!
 
Mkuu unafahamu ya kwamba kujaza adress na location feki ni kwamba paypal account haitokuwa verified. And you won't have any to withdrawal
Inawezekana sanaa na ukaiverify pia. Nisafanya hivyo na account yangu ilikuwa onhold nikaweza kuiverify kwa kutumia njia hizo hizo fake
 
If you add receive card doesn’t not mean you receive money you idiot!

The issue is adding an account and receive money!

Je kama kuna mtu wa nje akafungua kwa details zake, then akakupa account ukachange password of course hata kama mi ndg yang nna trust issues kidg inawezekana au kisa location nko Tz itakuwa tatizo?
 
Je wanaonunua bidhaa kutumia PayPal refund wanapateje? Maana mimi nilipata pesa baada ya mzigo wangu kutokunifikia na PayPal walituma pesa na nikaiona kwenye account yangu ya benki
Ye sure, mimi pia nishawai kua refunded kwa paypal nikatoa mtonyo CRDB
 
Kuwa refunded na kupokea pesa ni vitu viwili tofauti. Payapal wana refund kwenye source ya pesa.
Ila kama account yangu ni ya tanzania haiwezi kupokea pesa kutoka kwa mtumaji wala mnunuzi wa bidhaa.
Hapo ndipo kuna tatizo, na ndiyo maana tuna fake locations. Ila siku likikukuta la kukuta wakahold acc yako kama ina pesa ndipo unajua kuwa kufake siyo jambo jema
 
Je kama kuna mtu wa nje akafungua kwa details zake, then akakupa account ukachange password of course hata kama mi ndg yang nna trust issues kidg inawezekana au kisa location nko Tz itakuwa tatizo?

Mjinga kweli wewe, sikia unachoongea! sina haja ya kukujibu hata, huo ni uhalifu, na huwezi fanya biashara namna hiyo!
 
Back
Top Bottom