RD07
Member
- May 5, 2024
- 52
- 90
Nategemea kukurahisishia kazi zako ewe mteja wangu. Najua kuna muda huenda ukawa una documents zako unahitaji ukazitengeneze Stationary lakini muda wako unakuwa mdogo kwenda kukaa masaa kadhaa ukiisubiri na kuihakiki hadi kuitoa n.k,
Sasa mimi Jobless nipo hapa kwaajili yako.
*
Tutafanya kazi kama ifuatavyo:-
*
NYOTE MNAKARIBISHWA
Sasa mimi Jobless nipo hapa kwaajili yako.
*
Tutafanya kazi kama ifuatavyo:-
*
*Tutawasiliana kwa Call na Whatsapp humu 0620 739 439
Tukishamaliza salamu na ukanipa order yako ya kazi, utafanya kifuatacho:-
Utapiga picha kazi yako unayotaka niifanye na utanitumia kwa mpangilio, kisha utatoa maelekezo ya unachotaka kifanyike.
Nitaifanya kazi yako kwa haraka, umakini, ufanisi, na uweledi mkubwa bila kusahau USIRI wa hali ya juu.
Na gharama zangu ni nafuu, Tsh.500/= kwa kila Ukurasa (Page) ~ hizi ni pages baada ya kazi kufanyika na sio zile za Rough.
Nikishamaliza nitakutumia sample ya kazi yako, utaihakiki na kama kutakuwa na marekebisho kuongeza ama kupunguza, ukishajihakikishia utanilipa kisha nitakutumia Original Document ya kazi yako.
Ukishaipokea utaamua wewe sasa muda wa kwenda kui print Stationary kwa kumwagiza mtoto au bodaboda ukiwa unaendelea na shughuli zako.
NYOTE MNAKARIBISHWA