Natoa huduma ya Typing/Data Entry

RD07

Member
Joined
May 5, 2024
Posts
52
Reaction score
90
Nategemea kukurahisishia kazi zako ewe mteja wangu. Najua kuna muda huenda ukawa una documents zako unahitaji ukazitengeneze Stationary lakini muda wako unakuwa mdogo kwenda kukaa masaa kadhaa ukiisubiri na kuihakiki hadi kuitoa n.k,
Sasa mimi Jobless nipo hapa kwaajili yako.
*
Tutafanya kazi kama ifuatavyo:-
*
*
NYOTE MNAKARIBISHWA
 
Badilisha Hilo jina lako Sasa ili wateja wakihitaji huduma wakupate kwa haraka
 
Badilisha Hilo jina lako Sasa ili wateja wakihitaji huduma wakupate kwa haraka
Anhaa, sawa mkuu ila nilijaribu nikashindwa kubadili username ya JF. Nielekeze tafadhali
 
Secretarial services.

Unaweza kupanga kazi za research kufata vipimo vya chuo husika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…