Natoa huduma ya Typing / Kuchapa Documents

Natoa huduma ya Typing / Kuchapa Documents

64rayONE

New Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Kwa gharama nafuu ya Tsh.500/= kwa Ukurasa / Page, kazi yako ya nitaifanya kwa haraka, umakini na weledi, kwa kuzingatia usiri (Confidentiality)

Procedure/Maelekezo
Tutawasiliana kupitia. Namba 0623066006 (piga/whatsapp)
Kisha utanipa maelekezo ya kazi yako (mf. Ripoti / Mitihani iliyoandikwa kwa mkono) Kisha utatuma picha za page zote whatsapp kwa mlolongo na mpangilio unaohitaji.
Nikishamaliza nitakutumia sample ya kazi yako, utaihakiki na kama kutakuwa na marekebisho yoyote ya kuongeza ama kupunguza, ukishajihakikishia utanilipa kisha nitatuma Original Docment ya kazi yako iliyokamilika.

Karibu, nipo kwa ajili yako
 
Back
Top Bottom