Natoa mafunzo ya kijasiriamali Kwa wajasiriamali wanaotaka kujifunza

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
11,297
Reaction score
14,588
Habari za jumatatu wakuu wapendwa, Ni matumaini yangu yu wazima wa afya na mungu anasaidia katika pilika pilika za kila siku za utafutaji wa mkate.

Sihitaji kuwapotezea muda maana wazungu wanasema "time is money" wakimaanisha "muda Ni Mali".

Haya sasa twende Moja Kwa Moja kwenye point kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu[emoji115][emoji115]

Mimi ni kijana mjasiriamali nimeamua kutoa mafunzo ya kijasiriamali Kwa wajasiria Mali wanaotaka kujifunza.

MAFUNZO HAYO NI YAPI!???[emoji56][emoji56]

Hapana usiwe na mashaka kitu ambacho ninafundisha Ni kama ifuatavyo.

[emoji117]Utengenezaji wa sabuni za mche za Aina zote.
*Za magadi, mawingu, mwarobaini na N.K

[emoji117]Utengenezaji wa sabuni za maji

[emoji117]Utengenezaji wa keki za sherehe mpaka utaelewa.

[emoji117]Utengenezaji wa batiki za '"till and die" utafundishwa vyema na hutochukua muda mrefu utaelewa maana hapa Ni mchezo simple sana.

[emoji117]pia kuna mafunzo ya dawa za chooni, dawa za kusugulia masinki, dawa za madoa,

[emoji117]Ushonaji wa VIPOCHI na MIKOBA KWA KUTUMIA SHANGA

[emoji117] Pia kuna mbinu za masoko I mean jinsi ya kutafuta wateja sokoni na kujua jinsi kuitetea bidhaa yako unapokua sokoni.

Napatikana morogoro makao makuu nipo IDUMILA lakini ukinihitaji ukiwa sehem yoyote hapa morogoro nakufuata.

BEI,

Hapa kwenye bei ya mafunzo kuna changamoto kidogo kama ukinunua maligafi zako mwenyewe ukiniitaji nitakuja na Kwa hiyo hapo ada itakua Ni maelewano, tunatengeneza bidhaa Kwa vitendo Mimi na wewe kisha unapeleka sokoni.

Kama upo tayari karibu PM tuyajenge.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…