GREAT VISIONAIRE
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 365
- 452
Katangaza biashara yake hajaomba ushauri nasaha! Jifunze kufahamu bandikoUtapata hasara kubwa ambayo utajutia maisha yako yote, nilijaribu mke wangu alijaribu na kuna rafiki yangu kapoteza 40m . Mambo haya ni magum kwasababu ni biashara illegal vijana wakikuingiza mjin huna pa kuwapeleka utabakia mikwala tu na mwisho utakaa kimya. Mwisho wa siku we ndio utaonekana tapeli.
Duc in Altum
Nyie ndio mnataka mumpige.Katangaza biashara yake hajaomba ushauri nasaha! Jifunze kufahamu bandiko
Natoa mikopo kwa watu binafsi wenye shida za dharula.uwe na bond yenye gharama sawa ama zaidi ya mkopo utakao. Maximum ni milioni 3.muda wa kurejesha ni kati ya mwezi mmoja na miezi mitatu. Riba asilimia 15.
Pm ukihitaji huduma
GREAT VISIONAIRE
""FANYA HIVI, NASAIDIA WATU WENYE MATATIZO MBALIMBALI ENDAPO WATAKUWA NA VITU VYA KUWEKA REHANI KWA MAKUBALIANO KATI YA MIMI NA MWENYE TATIZO.""
*kuzungumzi mpaka masuala ya riba its another case!
Nimekupata nitakupmNatoa mikopo kwa watu binafsi wenye shida za dharula.uwe na bond yenye gharama sawa ama zaidi ya mkopo utakao. Maximum ni milioni 3.muda wa kurejesha ni kati ya mwezi mmoja na miezi mitatu. Riba asilimia 15.
Pm ukihitaji huduma