NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #221
Hata mkiwa wawili siyo mbaya [emoji41]Hamna my we nenda tule pilau mimi nitakuwa kamati ya burudani ili harusi iwe pambe
Acha ushubwada Mkuu[emoji23]Countrywide ndege wako anachukuliwa huku [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😁😁🙌🙌🙌Watu mmetoka mbali😂😂😂😂 Ntakuchapa
Na nani?! 😂😂😂😁😁🙌🙌🙌Watu mmetoka mbali
Na mliokuwa nao nyakati hzoNa nani?! 😂😂😂
😂😂😂 ni utani, niishangaa tyuu pap nimefunguliwa uzi.Na mliokuwa nao nyakati hzo
Wala hata Haina shida hata kwenye mapenzi Kuna kujitafuta na kujipata😄😂😂😂 ni utani, niishangaa tyuu pap nimefunguliwa uzi.
🤣🤣🤣🤣 mfyuuuu!!Wala hata Haina shida hata kwenye mapenzi Kuna kujitafuta na kujipata😄
🤣Haya bn mama mjengo Sisi watu wazima tushaelewa🤣🤣🤣🤣 mfyuuuu!!
Ko hapo nilikua najitafuta?! Hivi humu JF mnachukulia vitu serious?!! Me mtu nisiyejulikana sasa nitake kujuana na watu tena kimapenzi wa nini?!
GENTAMYCINEHakika nafarijika mno NALIA NGWENA na sura langu hili Kama nazomea lakini Kuna totozi kutoka mitaa ya washua Tena pisi Kali kweli kweli haziogopi kunifata PM.
Hicho kitendo kimenifariji sana tena sana hakika aliyesema "wanawake wanahuruma " Nampa big up kwa asilimia Mia. Haiwezekani na weusi wangu huu mtoto mzuri Kama Cute Wife anakuja inbox kunijulia hali? Huo ni mfano tu nimetolea kwa huyo cute wife.
Nasimama hapa natoa pongezi za dhati kabisa kutoka kwenye uvungu wangu wa moyo yaani moyo mkunjufu hakika nina farijika sana na ninasikia utamu kwenye moyo wangu na mbarikiwe/muwe na moyo huo huo naimani ipo siku mtanibariki mpaka tunda.
Nawasilisha pongezi zangu hizo za dhati kwa wadada wa JamiiForums mnaokuja inbox kwangu na msiokuja pia.
Ndiyo anakubebesha Mimba kila mwaka?
Assume kila mwezi au kila siku vipi hapo umefurahi?Ndiyo anakubebesha Mimba kila mwaka?