Natoa posa!

Jamani wadau nimepanga kutoa posa hivi karibuni kwa binti machachari hapa jamvini na kwa jina ni DENA AMSI. Nawakaribisha woteeee tusherekee natumaini hii itakuwa safari yangu ya mwisho wa kuhangaika! Lini na ni wapi just stay tuned!

jamani umenishindwa mie nisiyevaa kufuli je utamuwezaje yule Dena Amsi anayevaa kufuli, skin tight, bukta, kaptula na baibui juu?
 
Kaka nakutakia kila la kheri kwente utoaji wa posa itakapo anza mishakato ya harusi tafadhali usinisahau kamati ya VINYWAJI pls.

Tupo pamoja Chapaa ntaakikisha kila mwana JF anashiriki kikamilifu! Please kwa wale mlokuwa na mawazo tafadhali chagueni wenu na mniache na DENA wangu!
 
jamani umenishindwa mie nisiyevaa kufuli je utamuwezaje yule Dena Amsi anayevaa kufuli, skin tight, bukta, kaptula na baibui juu?

Hata simba anapakatwa we vipi? ni maelewano tuuu!!!
 
jamani umenishindwa mie nisiyevaa kufuli je utamuwezaje yule Dena Amsi anayevaa kufuli, skin tight, bukta, kaptula na baibui juu?

Duh...al qaeda?...kajuni naona watu wameanza kutoa pingamizi mapema
.kumbe ulishachumbia kwa Nazjaz?
 
Mh sidhani kama hii ni habari ya kweli.....ngoja wakujitanda aje athiobitshe kwanza!!si yupo hapahapa jamvini,tusiandike mate.....!!
<br />
<br />
Ha ha ha wewe acha wivu bana hivyo
 
jamani umenishindwa mie nisiyevaa kufuli je utamuwezaje yule Dena Amsi anayevaa kufuli, skin tight, bukta, kaptula na baibui juu?

Daaah
Kweli soda inafunguliwa na opena tu
 
sina khabari, mi nilijuwa ushaota mvi za ulimi

Age aint nothing but a number!!!! acha waseme nafikiri wasubiri bonge la suprise hiyo siku ndo watakapo koma kulinga!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…