Natoa shukrani:Flora msoffe na miss chaga mnajua kunikosha sana

Natoa shukrani:Flora msoffe na miss chaga mnajua kunikosha sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Familia ya mfumo wangu wa fahamu inapenda KUTOA shukrani kwa Bibie flora na miss chaga kwa makubwa mnayonifanyia katika moyo wangu na hasa pale mnaponikonga nyonyo na kunisisimua kwa michango yenu..shukrani zaidi itatolewa kwenye account zenu za benki natoa ahadi ya ku deposit kiasi flani cha pesa taslimu kwa kazi nzuri sana mnayoifanya.napenda kusikia neno lolote kutoka kwenu
UKO wapi flora msofe mimi na moyo wangu tuje
Miss chaga mama asante.. nyie ndo wachangiaji wangu bora kwa sasa kwa upande wa wanawake
Na hii ni kwa hisan ya upendo tu..
 
Wanakuja!! Endelea kusubiri,Vipi lakini fedha hazitotumwa bila kufahamu wanapoishi???
 
Yupo msoffe na ofisini kwao wanavaa Nguo fupi wengi wakenya wanakaaa uchi kama kuna anayepinga ajeeeee nimpeleke then utaona
 
...du!..wale wazee wa matende na mabusha yaliyopasuliwa juzi kati!???
 
Yap msoffe ndio jamaa zake hao,yupo na wakenya ambao wanavaa nusu mnyama mnyama kbsaaaaa
 
acha longolongo sema una shillingi ngapi?...R.I.P Ngwear
 
Back
Top Bottom