Natoa shukrani kwa wote mlionisaidia

Msoto mtaani mkali kiasi kwamba toto la kiume linaweka picha ya demu na jina la kike midume inazama inbox na vocha inatuma. Ukisoma the way anavyojibu hahitaji kuwa na phd kujua kuwa ni Me
 
Kweli eeeh
 
Kwan hao ke na me huwga wanaandikaje??

Sio lazima wote tufanane
Msoto mtaani mkali kiasi kwamba toto la kiume linaweka picha ya demu na jina la kike midume inazama inbox na vocha inatuma. Ukisoma the way anavyojibu hahitaji kuwa na phd kujua kuwa ni Me
 
Haijalishi kutofanana, Lakini kwenye uandishi wako kuna elements za kiume japo unajitahidi kuandika kike kike
Basi mkuu Mimi wakiume

Tafuta sabab nyingne utasema Nina element za kike loh! Binadamu bwana

Ningekuwa nashida sna nisingeto shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…