Bambushka JF-Expert Member Joined Jan 9, 2020 Posts 3,952 Reaction score 7,218 Jun 23, 2020 #21 Daah ndiyo walinzi hao! Nenda Pemba au Mombasa, watakutwa wanatafuna matairi.. Rahisi SANA, mpigie RPC mpigie kamanda Sirro, akitoa maelekezo, kuna watu hawana kazi! Everyday is Saturday........................... π
Daah ndiyo walinzi hao! Nenda Pemba au Mombasa, watakutwa wanatafuna matairi.. Rahisi SANA, mpigie RPC mpigie kamanda Sirro, akitoa maelekezo, kuna watu hawana kazi! Everyday is Saturday........................... π
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,858 Reaction score 22,729 Jun 23, 2020 #22 Uchawi ni nn mkuu? Paddy said: Tangu umezaliwa umewahi kushuhudia kwa macho yako popote uchawi ukifanya kazi? Au ndio story za kijiweni zinakupa matumaini hayo? Tatua mambo kwa kutumia akili, uchawi haupo unapoteza muda tu. Click to expand...
Uchawi ni nn mkuu? Paddy said: Tangu umezaliwa umewahi kushuhudia kwa macho yako popote uchawi ukifanya kazi? Au ndio story za kijiweni zinakupa matumaini hayo? Tatua mambo kwa kutumia akili, uchawi haupo unapoteza muda tu. Click to expand...
K kashibaba Senior Member Joined Nov 26, 2019 Posts 191 Reaction score 269 Jun 23, 2020 #23 Aisee chief mtafute mgo'a kucha faster tu
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 Jun 23, 2020 #24 Mtafute Farouq Karim pale Shangani
wa zion JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 223 Reaction score 481 Jun 23, 2020 #25 πππ umenikumbusha niliibiwa betri kituo cha polisi na hata wa kumbana upate kitu chako unakua huna. Hii ndio bongo bwana
πππ umenikumbusha niliibiwa betri kituo cha polisi na hata wa kumbana upate kitu chako unakua huna. Hii ndio bongo bwana