Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]Njaa haina huruma kabisa
HahahahPicha za pilau la mwaka Jana tunazo..
Sasa kua makini na Picha Zako!!
Nimekula hapa napumulia feni tuPilau umeamua kula mwenyewe eehh??
Ndo karibu hapa upate unywajiMmmmmhhh
Ila upunguze uchoyo
Mr smart atapatikana mwakaniUna roho ngumu sana, unaujasiri wa kunywa hicho kinywaji!!
Utapoteza umaarufu wa kurotate ukikutana na Mr.Smart ikizidisha hicho kinywaji