theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Basiii leo mdundiko wa kitandani utakuwa si wamchezo [emoji4] [emoji4]Hiki ndo kinywaji nimekipenda jaman leo nakitumia
Kumbe leo Sikukuu.!? Heee ya nn tena?Sikukuuu leo haujui tupo wapi mkuuu
Hujui kila kitu fake kama nimedownload utajuajeNamchunguza kupitia vidole kwa picha mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hapana mkuu mm mtumishii si unaona natumia altar hapa [emoji2] [emoji2]Huyo anakufaa kabisa Tena mnaendana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namchunguza kupitia vidole kwa picha mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nipo hapa baa nakuchora unavyochati hapo counterTatizo hairuhusiw hapa jf ninavyotaman kuwaonyesha waheshimiwa niliokaa nao [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Njooo uchukue biaNipo hapa baa nakuchora unavyochati hapo counter
Let's hapa meza ya ukutaniNjooo uchukue bia
Muagize huyo bonge muhudumu aje achukueLet's hapa meza ya ukutani
Hahahahaaaa, sawa mkuuMkuu fanya kufumba macho kidogo, tunogeshe kijiwe
Aisee una balaa ww sikuwez ata kidogoNitalala bar leo namalizia kabisa mwaka huu najua mr smart mwakan atanifanya mtot mwema
Acha kuzingua mi hapa nimevaa draft shirtMuagize huyo bonge muhudumu aje achukue
Tatizo wateja wengi alafu nishalewaAcha kuzingua mi hapa nimevaa draft shirt
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji344] [emoji345] [emoji345] [emoji345] [emoji345] [emoji345] [emoji345] [emoji345] [emoji345]Tatizo wateja wengi alafu nishalewa