Matusi sasa hayo mkuu mbn unatoka nje ya madaUnalewa? Hutaki posho au ushapata mheshimiwa Wa kukupa grisi?
Matusi sasa hayo mkuu mbn unatoka nje ya mada
Umeniuz sanaView attachment 659223Nipo hapa nakusubiri nikuombe radhi,usipokuja sawa tutakutana mwakani boxing day
Jamani mwaka ndo. Unaisha kwann tuchukiane type tu hapo "Umeniuz sana
Wata editPicha za pilau la mwaka Jana tunazo..
Sasa kua makini na Picha Zako!!
Bado nimelala
Amka tukapate supu ya kogoro.... afu tuanze upya....[emoji4] [emoji4]Bado nimelala
Naumwa kichwa napepesuka tu ngj nitafute msaadaAmka tukapate supu ya kogoro.... afu tuanze upya....[emoji4] [emoji4]
Ngoja na mm nianze kumfatilia kuna kitu nimeona leo, nitaleta mrejesho...Mwambie huyo ananichukulia poah eeee[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
SjakuelewaNgoja na mm nianze kumfatilia kuna kitu nimeona leo, nitaleta mrejesho...
Demis karibu nyumbani kwangu kisasanipo dom ngj nikutumie vyombo
Hina vidoleni nimeipenda bro.Nimekula hapa napumulia feni tu