Uchaguzi 2020 Natoa ushauri kwa CHADEMA kwenye kampeni waambie wote wanaokuja waje na vitambulisho vya kupigia kura

Uchaguzi 2020 Natoa ushauri kwa CHADEMA kwenye kampeni waambie wote wanaokuja waje na vitambulisho vya kupigia kura

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kuna propaganda zinaenezwa na ccm kwamba

Chadema ni chama Cha mitandaoni mala wapiga kula wapo vijijini lengo ni kuondoa morari ya wanaotaka kukipigia kula hata wale ambao hawana vyama.

Sasa unajiuliza mji mdogo tu kana Lamadi kule SIMIYU Lissu alipopita watu walikuwa wengi mpaka wanataka kukanyagana na wote wanashangilia jiulize hapo Lamadi watu wangapi wapo jamii forum?

Unaweza ukakuta hakuna hata mmoja ila wana mapenzi na upinzani.

Nenda Bunda, Kule Ntuzu Kahama Nzega wangapi wapo jamii forum? Ila kwanini walimshangilia Lissu mwanzo mwisho ?

Ccm acheni propaganda Lissu ana watu wengi mno na uchaguzi huu hamtoamini kitakachotoke.

Nawashauri chadema Kila watakapopita kwenye kampeni wawaambie wafuasi wao wawe around na vitambulisho vyao pale pale kwenye mkutano.

Ili tuonyeshe Dunia kwamba Tanzania ipo tayari kwa mabadiliko makubwa ya kimfumo.

Lasivyo tutamezwa na propaganda za CCM za kusomba watu wa eneo moja kwenda jingine kwa kutumia magari ya shule.

Watu wapo tayari kwa mabadiliko wapo kimya tu wanasubiri.
 
Naunga mkono hoja, tena kuwe na kipengele kwenye kampeni cha zile slogan za uchaguzi na chama.

Mfano, wanatoa vitambulisho na kuviinua juu kisha zinaanza:

Peopleeeeeez, poweeeeeer.....
Chademaaaaa, vemaaaaaa......
Hakunaaaaaaa,kulalaaaaaa......
Mpakaaaaaaaa,kielewekeee.....
#2020, #NiYeyeeeeeeeeeee.....

Kuonewaaaaaa, sasa bhaaaas...
Kuibiwaaaaaaa, sasa bhaaaas....
 
Hui ndio ukweli, chadema ipo mitandaoni zaidi,

Kwenye kuboresha taarifa za mpiga kura mlihamsishana msiende sasa sijui Lisu atapigiwa kura na miti?
 
Watanzania wengi wana vitambulisho vya mpiga kura na wanavitumia kwa matumizi mbalimbali. Wengi hawakutaka kupiga kura lakini sasa watapiga
 
Back
Top Bottom