Natoa vitu hivi kwa mwenye uhitaji wa kweli

Natoa vitu hivi kwa mwenye uhitaji wa kweli

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,354
Reaction score
3,623
Nimehama makazi ila kuna vitu vya ndani sijahama navyo hivyo navitoa bure kwa mtu anahitaji(mwenye shida kweli) au kama unamjua anayehitaji.
-Godoro zima kabisa
-Nguo- mashati, Tshirts na surual, nguo nzima ila tu ni za kufua
-vyombo vichache vya ndani

Mtu awahi kabla sijakabidhi chumba jumamosi. Dar kigamboni
 
Back
Top Bottom