Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Chozi la ujasiri ama la uoga? Tuweke sawa hapa.Nimemsikiliza machozi yamenitoka.
Chozi la ujasiri ama la uoga? Tuweke sawa hapa.
Hii ni kete ya muhimu ambayo possible washauri wa Mama hawajajua au labda anashauriwa lkn hashauriki. Refer Sikio la kufa...Nilisema, kadri tarehe 29 oct inavyosogea, kuna matukio mengi na yasiotarajiwa yanaenda tokea, kuna moja nalisubiri, wana CCM wale maarufu kumgeuka mama siku chache kabla ya 29 OCT, sema yeye anauwezo mdogo wa kufikiri hawezi ona hili.
Mbona Ile "Taarifa kwa Umma" ya Jana kama una walau D mbili tu unaelewa kuwa ndiye au siye...Ila bado nina shaka, Tesha msoja kweli? Au amekuja kupima upepo? Ile kofia na nembo ya begani vimenitia mashaka,tusubiri kidogo