Natoka vipele baada ya kunyoa ndevu

Natoka vipele baada ya kunyoa ndevu

BARA BARA YA 5

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,174
Reaction score
835
Heloo members,

Naomba msaada natoka na vipele nikinyoa ndevu, nitumie dawa gani?

JPEG_20220813_071748_557280741.jpg
 
Foliculitis inaitwa mimi nashaurigi wateja wangu kwanza ni machine zinazotumiwa (tumia personal) pili usafi so hapa ni kutumia after shave tatu ni material ya kunyolea I discourage use ya wembe sabab hivo vipele ni inflammation ya hair follicle
 
Ndioo dokta ndiiioooo!!

Santo sana
 
Mkuu
1.nunua machine yako
2. Usitumie wembe
3. Tumia After shave kama huna chemsha maji ya moto na kitambaa jikande baada ya kunyoa
4. Tumia dawa/spirit (not much recommended.
5. Kama hunyoi styles/fashion
Tumimia 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
 
Attachments

  • 20220813_094742.jpg
    20220813_094742.jpg
    350.9 KB · Views: 75
Mkuu
1.nunua machine yako
2. Usitumie wembe
3. Tumia After shave kama huna chemsha maji ya moto na kitambaa jikande baada ya kunyoa
4. Tumia dawa/spirit (not much recommended.
5. Kama hunyoi styles/fashion
Tumimia 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
ushauri mzuri huu
 
Back
Top Bottom