Natokwa Damu Ukeni Na sio Hedhi

hili ndo jibu nlopewa hospital
 
MKUU KUNA ISHU NATAKA KUULIZA UNAWEZA NI PM
 
CONCLUSION

Nilifanikiwa kwenda Hospitali Jana ileile baada ya kuhimizwa sana na Wana JF ..
SHUKRANI SANA ...

Baada ya Full Checkup nkagundulika nina Mkwaruzo kidogo ndani Ya uke.... nikapewa dawa ya kukata Damu . ... na nimeambiwa nirudi tar 9 ili wachek tena.... but for now damu iliyodumu kwa siku 3 imekata baada ya kutumia dawa....

Ahsante sana Ndugu zangu.....

#BlessUp
 
Wasomi mmewaza mbali sana, hiyo dogo ndio mara ya kwanza anaona hiyo hali na hakuna shida nyingine. Antifibrinolytic agents zingemtosha kwa kuanzia kwa mtazamo wangu.
Hapana asitumie kwanza dawa yeyote mpaka amuone doct, kwa ushauri wangu, ila tiba inategemea ni kwa kias gani na muda gani tatizo limedumu
 
Hongera huo mkwaruzo ukeni hapoo[emoji14]
 
Hahahah!!

Mwanamke kuwa period haina maana ndani ya tumbole kunakuwa na kidonda au kitu kinachopata maumivu kikiguswa...
 
Pole sana,Ni imani yangu utapona kabisa.JF ni sehemu nzuri kwa ushauri pia.
 
Hapana asitumie kwanza dawa yeyote mpaka amuone doct, kwa ushauri wangu, ila tiba inategemea ni kwa kias gani na muda gani tatizo limedumu

Yeap, your right, though kwa maelezo yake mwanzo na mrejesho wake umeona what was done. Ni kukata tu damu kazi ikaisha.
 
Wasomi mmewaza mbali sana, hiyo dogo ndio mara ya kwanza anaona hiyo hali na hakuna shida nyingine. Antifibrinolytic agents zingemtosha kwa kuanzia kwa mtazamo wangu.
dawa nlopewa inaitwa primantin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…