Natokwa na chunus mithili ya vijipu vya uchungu, nifanyeje?

Sam193

Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
16
Reaction score
1
ni kijana wa miaka 21 nasumbuliwa na chunusi flani kama vijipu uchungu kwa sabu vinatoa usaha na damu mwshoni pleaz wakubwa naombeni msada nfanyeje?hasa maeneo ya puani na chni ya mdomo au kidevuni
 
....nenda chooni kapige punyeto...
alafu unakinga bao likitoka unajipaka usoni...wiki tu...utajikuta softi kama Wema.....
 
ni kijana wa miaka 21 nasumbuliwa na chunusi flani kama vijipu uchungu kwa sabu vinatoa usaha na damu mwshoni pleaz wakubwa naombeni msada nfanyeje?hasa maeneo ya puani na chni ya mdomo au kidevuni
Chukua Siki Ya Apple (Apple Cider Vinegar) Kidogo angalia hiyo picha hapo chini Changanya Na Maji Kidogo Pamoja Na Mafuta Ya Nazi Kidogo Sana, Pakaa Kwenye chunusi. Subiri Dakika Tano Au Kumi, Kosha Uso Kwa Maji Yalokuwa Si Baridi Sana. Paka Kwa Siku Mara Moja.
 
Attachments

  • Apple cider Vinegar.jpg
    7.2 KB · Views: 329
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…