Natongozwa sana na wanawake

hello.guys naomben ushaur nna tatzo gan kwasabab idadi ya wanawake wanaontongoza ni kubwa kulko wanawake nliowatongoza mimi!!
una nyota nzur hasa ktk ulingo huu kwichikwich....hivyo wagonge tuu maana hakuna namna nyngne.

Usione ajabu kutongozwa ni jambo la kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…