habari zenu humu ndani...wikend hii nategemea kuwepo rock city...sasa jamani ajitokeze mrembo wa jf mmoja awe mwenyeji wangu kwa kunionyesha mitaa ya mwanza na burudani zake.