"""natufata""

"""natufata""

herrypeter1

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2009
Posts
223
Reaction score
30
inapofika usiku nawaza kesho kufika,
siuzuniki kimapenzi naangika kwa kutafuta,
napouliza inakuwaje wengine wanapendwa,
sipati jibu zaidi ya watu kucheka,
mh ilianzia pale nilipofika kwenye umri unaofaaa,
leo wengine wanatafuta wengine wanatenda,
wengine mwaka wanasali kutafuta,
pengine utapata kesho ukifika,

Ni toka moyoni wengine wanatafuta,
pengine atufanani ndo maana unashidwa kuelewa,

aya ndo wanaita mapenzi visa tofauti,
ni wangapi wanalia wengine wanajitundika mtini,
................
 
wengi tu wajinga ndio wanaoteseka,ila kichwa chako cha habari naomba UKIKEREBISHE samahani nimekosea kuandika ukirekebishe
 
Unatafuta au?
Watu tushajiandaa kupm.
Hebu elezea vizuri.
 
Toka ndani mungu akuone. Unajifungia ndani wanaume/wanawake watakuona vipi
 
inapofika usiku nawaza kesho kufika,
siuzuniki kimapenzi naangika kwa kutafuta,
napouliza inakuwaje wengine wanapendwa,
sipati jibu zaidi ya watu kucheka,
mh ilianzia pale nilipofika kwenye umri unaofaaa,
leo wengine wanatafuta wengine wanatenda,
wengine mwaka wanasali kutafuta,
pengine utapata kesho ukifika,

Ni toka moyoni wengine wanatafuta,
pengine atufanani ndo maana unashidwa kuelewa,

aya ndo wanaita mapenzi visa tofauti,
ni wangapi wanalia wengine wanajitundika mtini,
................

re; natafuta?

Ulete wasifu wako, fulani yupo tayari,
Popote penye mwinuko, uweke hiyo ni kheri,
Na atupanda mkoko, kukufuata kwa hiari,
Hima nakwambia, mwenzako ajiandaa.
 
Unatufata au unatafuta??

Toa wasifu wako watu tujimwage mwage kwa raha zetu tuko standby hapa
 
umelalamika sana!
Hujasema tatizo lako lipo wapi?
Jinsia yako ni ipi? Hata kama ID ina kau...me.
Wakti mwingine siku hizi watu wanapendana kwa vigezo...kama mali/cheo/urefu/rangi/mwanamziki....etc.
Wengine
 
Nasubiria nione labda kesho utakuja kuwa na mimi.

LOVE UR SIGNATURE..
 
si amfundisha mwenzie aonekane na wewe mbona wawa mkali hivyo???

ni sawa kumfundisha lakini kutumia kauli kama hiyo, ya kupunguza uwezo wa Mungu, dah! Au Mungu ndiyo kweli hawezi kuona ndani? Tuachane na hayo, sijakuwa wa kusema kwa ukali hada sasa...
 
ni sawa kumfundisha lakini kutumia kauli kama hiyo, ya kupunguza uwezo wa Mungu, dah! Au Mungu ndiyo kweli hawezi kuona ndani? Tuachane na hayo, sijakuwa wa kusema kwa ukali hada sasa...
sawa mkuu amekuelewa punguza jazba mana mshachakachua mada ya watu..............
 
sawa mkuu amekuelewa punguza jazba mana mshachakachua mada ya watu..............

Sina jazba mkuu. Lkn mtoa mada kasepa, sijuwi cafe zimefungwa au anaisubiria ile ya mkoloni wake asubuhi? Sielewi....!
 
Back
Top Bottom