likat Member Joined Feb 19, 2013 Posts 40 Reaction score 32 Jan 2, 2025 #1 Habari wakuu, ninaweza kupata wapi breaching earth - bentonite clay minerals kwa ajili ya matumizi ya ku refine mafuta ya kupikia hapa Tanzania? Nina mini scale refinery machine Mbeya
Habari wakuu, ninaweza kupata wapi breaching earth - bentonite clay minerals kwa ajili ya matumizi ya ku refine mafuta ya kupikia hapa Tanzania? Nina mini scale refinery machine Mbeya
A Al-habiib Senior Member Joined Jun 21, 2023 Posts 110 Reaction score 151 Mar 11, 2025 #2 Mkuu hiyo mashine inauzwa wap na Bei gan?