Natufuta vitz, passo au starlet, budget Tsh4 mil

kakamgeni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2018
Posts
241
Reaction score
201
Habari zenu wananzengo, kama tangazo linavyosomeka hapo juu, natafuta gari ya kununua iwe TOYOTA Vitz old model, Passo Piston 4 au Starlet.

Namba Ianzie B,C au D Iwe Kwenye hali nzuri nikiwa na maana Full Air Condition na Engine isiwe cherehani au inayopiga manyanga.

Kwa walio serious wanicheki kwa namba : 0620 33 15 59
 

Kaka sema, ulipata. Namie natafuta
 
Hivi hizo vitz si ndio bashite alisema ni za mahousegirl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…