Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
What??!Unamaanisha mimi ningekuwa wa pili? Useless kabisa wewe mke ni ndugu yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu zangu nazituma kwa wake wenzangu espy Thad Neybright miss chagga ladyfurahia Mzigua90
Ujumbe, mwaka 2019 sitaki kushea na mtu
Siwezi kuwasahau wakorea wenzangu Damushin Nifah @animas EMPTY na wengine hebu piteni na huku kidogo
Happy New Year nawapenda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
.
Asante kwa salam zako kipenzi.Salamu zangu nazituma kwa wake wenzangu espy Thad Neybright miss chagga ladyfurahia Mzigua90
Ujumbe, mwaka 2019 sitaki kushea na mtu
Siwezi kuwasahau wakorea wenzangu Damushin Nifah @animas EMPTY na wengine hebu piteni na huku kidogo
Happy New Year nawapenda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Ndio maana nawapenda wapare ni wabunifu sana.Wewe mwanamke usiwe na maamuzi magumu kama mpare aliyeumwa njaa akala panado ili apone
Huna lolote unaacha huku karoho kanakuuma baada ya muda mchache tu najua utakuwa mgeni wangu, you are welcomeAsante kwa salam zako kipenzi.
Ujumbe: Mwaka mpya mambi mapya, yule bwana wa nwaka jana nimekuachia
Teh teh thanks darling unajua vile nakupendaga, wewe tu peke yako. Sasa mwaka mpya inakuwaje honey?espy mkao uliokaa tukampata Douta naomba tuutumie 2019.
Heaven Sent Unajua vile nakupenda.
gorgeousmimi Missing you rafiki
Khantwe Udangaji wako ndo uwa unanipa hasira zaidi ya kupambana..Usiache
Valentina Jirani..Hatujauaga mwaka 2018 wala kuukaribisha 2019..Tusiwe wazembe kiasi hicho
Mzigua90 Japo foleni imekuwa kubwa ila unajua penyewe tumetoka.
Evelyn Salt Zawadi uliyoniahidi kunipatia ukimaliza form4 hadi leo kimya mpendwa..Sijui unajifelisha usimalize
BADILI TABIA 2019 usijifiche sana mpendwa..Hata kwenye kwaya sikuoni
Roger Sterling Heri ya mwaka mpya bro
cute b 2019 isipite bila ndoa..Ikibidi mtolee jamaa mahari umuoe kama anazingua..cc sumbai
Teh teh thanks darling unajua vile nakupendaga, wewe tu peke yako.
Naulizia yote, ya muda mrefu na mfupiViuongo vyako vinaongeza chachu la pendo..Kuwa mkweli sana inaboa ujue
Unaulizia mipango ya muda mrefu au mfupi
Salaam zimefikaa na kupokelewa! Ahsante bibieSalamu zangu za pekee ziwaendee wafuatao.,
Avatar mok
Kaka shemeji sumbai.
General Mangi
Relief Mirzska
Kiben10 changu 4G LTE
Mama la mama cute b
Swahiba Viatu vya Samaki
Muunga Juhudi
My friend Cole Williams
Manga ML
Da'Vinci
Shunie
Maserati
Mzigua90
Ujumbe, Mwaka huu ukawe wa mafanikio kwenu.
[emoji85][emoji85][emoji85]Salamu zangu za pekee ziwaendee wafuatao.,
Avatar mok
Kaka shemeji sumbai.
General Mangi
Relief Mirzska
Kiben10 changu 4G LTE
Mama la mama cute b
Swahiba Viatu vya Samaki
Muunga Juhudi
My friend Cole Williams
Manga ML
Da'Vinci
Shunie
Maserati
Mzigua90
Ujumbe, Mwaka huu ukawe wa mafanikio kwenu.
[emoji85][emoji85][emoji85]
Uwe na mwaka wa heri na fanaka mlezi.
Hapana, unafanya antagonistic move sasa... Be Me, I, My self[emoji12]Mlezi wa wana sio?