Same to you brother...Samboko hivi Hajar yupo wapi?? Happy new year to you brother.
Kiongozi Mr Miller salam nyingi kwako
Mkuu wa mashemeji espy heri ya mwaka mpya.
Sakayo my sister Mzigua90 api neu yea
dark angel
My sister Khantwe
Class mate Daby happy new year
My blood jje's ur missed soo
Mzee kijana Asprin na mtaalam wangu Sky Eclat
MO11 thanks kwa kuanzisha uzi huu. Ila its enough uache kumchezea dadashemej espy
My best Shunie much love to you.
Madame S
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha
Hebu hukoo! Wasap sijakuwish wewe?!
HayupoWasap ndio jf eeenh kwani Bonny wasap hayupo kila mtu na mtue
Na mm ngoja nimuwish babe wangu
AiseeeAnko asante [emoji8][emoji8][emoji8] na kwako pia unajua vile nakupenda sasa anko kazi gani hiyo ambayo uliiona lakini, kuwahi kulala nitajitahidi anko wangu nikue zaidi ya hapa napendaga vile unanifukuza niwahi kulala tu anko na mpwae [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Salam zangu kwa wana jf wote muwe na mwaka wenye mafanikio tele.
Hayupo
Hebu muwish hebu nimzoooom
Aiseee
Salam nimezipata mama,Salamu zangu za pekee ziwaendee wafuatao.,
Avatar mok
Kaka shemeji sumbai.
General Mangi
Relief Mirzska
Kiben10 changu 4G LTE
Mama la mama cute b
Swahiba Viatu vya Samaki
Muunga Juhudi
My friend Cole Williams
Manga ML
Da'Vinci
Shunie
Maserati
Mzigua90
Ujumbe, Mwaka huu ukawe wa mafanikio kwenu.
HiHalooo
PoaVipii huko
Hahaha hahahaToka lini hayupo wasap eti
Happy new year babe wa shunie [emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda mimi, nakutakia mwaka mpya wenye mafanikio tele
Hahaha hahaha
Hana jinaaa??? Aki mecheka saaaana jamanii
Nani amuibee sasaaa.... Watu saivi wanaogopa utafitiiii...Asubutuuuuuu
Nimtaje jina aibiwe mwenyewe anajijua salaam zimemfikia babe wangu mimi tu
Nani amuibee sasaaa.... Watu saivi wanaogopa utafitiiii...
Hebu mtajee
Namjulia wapi jamanii...Hahhaha acha waogope utafiti tu
Hivi we si unamjua lakini nitakutajia wasap kama umemsahau
Salam zikufikie ShunieHahhaha acha waogope utafiti tu
Hivi we si unamjua lakini nitakutajia wasap kama umemsahau
Namjulia wapi jamanii...
Hebu mseme basii