Mr-Njombe
Member
- Aug 29, 2022
- 64
- 122
Hello,
Nafuraha sana kuwa moja ya sehemu nilizokua nikitafuta faraja kwa muda mrefu sana.
Miaka zaidi ya 20 ya kuishi niliyonayo, tayari nimekomaa vya kutosha kuhimili mikiki mimiki ya mapenzi japo sina uzoefu sana katika mahusiano.
Sio kwa ubaya lakini, Naomba kukaribishwa kwanza humu jukwaani ili kwanza niondoe aibu na woga. Kisha naalika ushauri, nasaha na miongozo muhimu ili kunigaid, na kwa KE waliyotayari tuweze kuona namna ya kufanya tuonane macho kwa macho ili kufahamiana zaidi ikionekana inafaa.
Nipo dasalama kwa sasa. Ni Mkristo.
Asanteni sana naomba kuwasilisha.