Madame oresta
Member
- Jul 6, 2022
- 13
- 4
ThanksHizo dawa ni the best.. isipopona hapo hiyo itakuwa sugu hasa, itabidi wahamie kwenye ma meropenem huko.
Na ni bora watibu hizo PID & UTI mapema maana zisipotibika hizo kuna uwezekano ukapoteza mimba yenyewe.
Utakuwa sawa tu wala usijali.Hata hivyo nimeanza kuona mabdiliko yaani yale maumivu yamepungua maana tumbo chini ya kitovu lilikua linauma nmesha choma kwan nne nkasema ni share ili npate mawili matatu nashkuru kwa ushauri
NdioDokta ulimwambia
Asante sana kwa kunipa matumainiUtakuwa sawa tu wala usijali.
PID ni maambikizi kwenye via vya uzazi kwa ninavo jua mm mfn kwenye mji wa mimba, mirija ya fallopia etcNi vema pia muulize Dr aliyekuandikia. Ila pia naomba kujua PID ndo nini? Halafu, kwa hapo dawa za PID ni zipi na dawa za UTI ni zipi hapo?