Habarini Wadau,tatzo Langu N Kuwa Nikiwa Nasex Natumia Mda Wa Dkk 45 kupata goli moja,ila niijarbu kurudia tena nashndwa mpk nipumzike kama saa moja,naomba mnishaur nifanyeje,niweze kurudia tena kwa mda mfupi?
Tatizo unachotaka ni kama m2 aliyemaliza darasa la kwanza arudie tena darasa hilo hilo. Cha kufanya elewa kwamba ukitoka la kwanza unatakiwe uende la pili na ukitoka la pili unaenda la tatu na ukitoka la tatu la nne,tano na sita. Unasahau kwamba hayo madarasa huwa yanasomwa kwa muda wa miaka saba