Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
tupe mchanganuo wa buku kwa wiki.Mi natumia afu 4. Buku kila wiki.
unatumia Vpn? haununui dakika wala sms?Vizuri sana
Kuna mwingine anatumia laki 2 kwa mwezi, akisoma hii yako ataiita ndogo sana.Mbona ndogo? Depends on what you do,
1. Nina post paid ya tsh 15,000Tsh kila mwezi ya GB 15
2. Nina 35,000 GB 15 kwa mwezi
3. 1500 kwa 10,000 SMS za mwezi
4. Randomly bando za voice call
N.B kama hufanyii economic issue na hizo gharama usifanye hivyo.
Hio ipo!Safi kabisa, wengine kila kitu tunaomba kwa majirani.
Nguvu yetu upole na kujichekesha.
Mchanganuo ndo kama huo, zikiisha kabla ya mda sinunui mpaka tarehe ifike. Nikiwa na shida sana nanunua mda wa maongezi wa sh 10 au ishirini. Sitoki njee ya 5000. Kwa mwezi. Mtandao pekee natumia ni JF, Google na whatapp. Status za video sifungui.tupe mchanganuo wa buku kwa wiki.
kuanzia Mb, dakika na sms
MBunatumia Vpn? haununui dakika wala sms?
what is your monthly bundle expenses?
Nashukuru hawanichoki, internet wananipatia 24/7 na hizo mnazosema dakika.Hio ipo!
mi mtaani hapa kila wakati wadau wanagongea dakika tu na hata sijali