Natumiaje Bio Oil

The Donchop

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
294
Reaction score
378
Wasalaam wandugu?

Nina matatizo ya scars na chunusi kwenye uso wangu. Kuna mtu aliwahi nishauri jinsi ya kutumia Bio Oil. Nimenunua lakini sielewi jinsi ya kuitumia.

Naimani humu kuna ambao waliwahi kuitumia na wanafahamu vema.

Naomba mwenye kujua tafadhali anijulishe ili niweze kupona huu ugonjwa.
Asanteni.
 
unapaka kama mafuta mengine, inasaidia wenye stretch marks na madoa pia. Unamimina viganjani na kupaka usoni
 
Hivi hiyo oil uwa ni kwa kila mtu ama ni kwa baadhi ya watu tu wanaoweza kutumia hayo mafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…