Fazzah5x
Senior Member
- Aug 10, 2022
- 172
- 243
Habari za leo wakuu,
Yes, kwa wale wadau na wapenzi wa burudani nimeleta jambo hili mbele yenu muweze kunishika mkono au kunionesha njia, nashukuru Mungu nimezaliwa na vipaji mbalimbali lakini nimewekeza mawazo zaidi katika haya;
Umri:22
Jinsia: Me
Categories:
a)Nina uwezo wa kutunga,kuandika
na kupangilia nyimbo za aina zote pamoja na melody zake
b)Naimba pia na kuingiza backvocal
c)Acting&kuandika scripts/stories
d)Dabin &kuingiza sauti pamoja na usimulizi.
Contact:+255625544723(Normal)
Nawasilisha.