Natural Attractions in Kenya and Tanzania

For all of u here wondering why kenyans are not posting any pictures... Just enter instagram and search
Either

Kenya

Mombasa

Nakuru

Nairobi

Or just kenya And see why all this pictures MOTOCHINI is posting are sub par.... Kenya is really beautiful now I get it.... If what MOTOCHINI is posting Is Tanzania then you people have a long way to go
 
Now back to the

Kenya vs Tanzania suburbs to see MOTOCHINI post some bridge and rail in a residential section
 
Tanzania tuna sehemu nyingi mno zakuvutia
Mungu alitupendelea kwakweli
 
Now back to the

Kenya vs Tanzania suburbs to see MOTOCHINI post some bridge and rail in a residential section
Tena wewe Kapuku ficha Upumbavu wako
Nimarangapi mnaivuruga thread hatusemi

Juzi hapa imeletwa habari ya bandari ya Mombasa kuwa nafuu zaidi
Watu wanajadili unafuu huo
Mkaona mmezidiwa mkaanza kupost picha za bandari Mara ipo nzuri Mara vile yanini!!
Mada hapa ni picha tu
 
Instagram na JF wapi NA wapi
Huko kilasiku mnapost Diamond ni mkenya
Mrisho mpo mlisha sema ni mkenya
Juzi hapa mlisema Oldvai IPO Kenya

Mtashindwa kupost hivyo vipi cha kuwa ni Kenya!!?

Tunataka mpost hapa ili tuwafahamishe mnadanganywa hizo ni za Tanzania sio Kenya
 
Samm999
Njoo ulete Mbuga Na hifadhi za Kenya
Ili tulinganishe NA Tanzania

Ukumbuke kuwa

Maajabu 7 ya Afrika nchi 54 Tanzania ipo

Katika maajabu hayo 7
TANZANIA Yapo 3
4 Tumewaachia nchi 50 mgawane[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kenya hata wa 20 hakuna

UNAONA HAPA
Kilimanjaro
Ngorongoro migration
Ngorongoro
 
Leta picha hapa! Wacha porojo!
 
Naona watu Wamesha danganywa picha nyingi za vivutio vya Tanzania ni Kenya

Tuanze kuweka video maana Hamna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…