Natural Attractions in Kenya and Tanzania

Mbona picha nyingi ni za. TZ255. Alafu manaandika 254? mjaacha ujinga wenu. Picha zingine ni za seluu nazingine ni za Katavi
 
Katika hifadhi ya Ruaha iliyopo Mkoani Iringa unaona wanyama wengi upendavyo na kupewa simulizi ya tandala. Mnyama anayebeba nembo ya hifadhi asiyepatikana popote na chakula chake ni majani ya mti wenye sumu. Courtesy of Fikra Pevu







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…