Viboko ni lazima kama mnaleta kibriDada siku hizi nakuogopa sana kwa sababu nimepata taarifa kuwa umeanza kuchapa viboko wadogo zako!!
Hahaha alishakuibukia nn mbona unaonyesha unampata sana?Jamaa ni mpole sana hapa ila ni mkali kinoma kule pm!!
HahahahhhDada siku hizi nakuogopa sana kwa sababu nimepata taarifa kuwa umeanza kuchapa viboko wadogo zako!!
Wasichana makini hawapendi maneno bali vitendo..Huyu jamaa ni mtaalam sana,yaani yeye anatupia ua mambo ya kuongea kwa vitendo tu!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naskia jamaa ni mtaalamu sana.anamaneno matamu mno hadi ukanisahau.Mbona nilishamkataa kule PM na maua yake
Muosha rungu endelea kukomesha wambea!!!Mbona sioni maswali jamanii???
Mkuu mchukue tuu numbisa mm hapana ni binamu yanguJf ina madem wengi si umchukue hata Numbisaaa mpaka J wanguu
[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]Najua wanaume wa Dar hampendi hayo maswali
Alimuibukia girl wangu,nikaibiwa mazima!!!Hahaha alishakuibukia nn mbona unaonyesha unampata sana?
Labda kaogopa maneno ya wale wakuwashwa washwaTumuombee[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Mdogo wanguMuosha rungu endelea kukomesha wambea!!!
HahahaAlimuibukia girl wangu,nikaibiwa mazima!!!
Wote hawana umuhimu zaidi yako