Kweli aisee mwifwa umeongea la maanaKama ni soft copy atuwekee hapa tuwe tunajua kabisa muda na siku pamoja mchomolewaji
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Fanya hivyo kuondoa huu ubovuUsijali linamo mbuyu ulianza ka mchicha!
DJ sepetu
[emoji57][emoji57][emoji57]umetuletea mtu gani leo[emoji30][emoji30]Masufuria tena jamani hata mechi inaweza kukatizwa sababu ya mvua
DJ sepetu
[emoji23][emoji23][emoji23]na kweli maanaKuwa na I'd mbili ujue akili inakua sio yako
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Fanya hivyo kuondoa huu ubovu
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Koromije
DJ sepetu
Akili inakuwa si yako kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]na kweli maana
Mdogo wangu leo tumepatwa ujueSakayo dada njoo uone vioja huku[emoji34]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mwambie asirudie haya mambo ya Peramiho[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mdogo wangu leo tumepatwa ujue
Kabisa ashaanza leta vioja hapaUwe unaangalia watu mara mbili huko pm kabla hawajaja humu kwenye interview