[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliulizwa hajui sababu ujue nikasema ni kivuli kwa nini haumwamini akaniambia kwahiyo kivuli ndio tatizo nikamwambia ndio akasema sawa namwachia MunguWapi huko... Salamu za jf sio za kheri ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye two picturesMrembo,msomi ,charming, two pictures
DJ sepetu
Yaaani shiida tupu!!!! Maswali matatu, mwandiko wa kiwango cha lami daaah leo katukomesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atajuta muosha rungu,kwa kweli hii interview ya leo sijaielewa!!
Akutukanae hakuchaguliii Tusi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Tulia bhanaa, nimefungua maji hukooo ili ajue nimo tuu msalani
We cheka tuu mwaya, natetemeka hapa nje balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siuingie ndaniWe cheka tuu mwaya, natetemeka hapa nje balaa
Kwanini unaitwa Kichwa kichafu! Napenda kufahamu nijuze[emoji4]Akutukanae hakuchaguliii Tusi!
WoooiiiEbu abadirike jamaan
Nakupenda tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akutukanae hakuchaguliii Tusi!
Teh teh tehEeh ndio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mie nishashuka juu ya kilima huku nilikokuwa natafuta networkWe cheka tuu mwaya, natetemeka hapa nje balaa
HahahaMrembo,msomi ,charming, two pictures
DJ sepetu
Woooiii
Mie naenda ndani
Yaan muosha naniliu katuweza leoPole mie nishashuka juu ya kilima huku nilikokuwa natafuta network
Hamna tatizo Shunie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliulizwa hajui sababu ujue nikasema ni kivuli kwa nini haumwamini akaniambia kwahiyo kivuli ndio tatizo nikamwambia ndio akasema sawa namwachia Mungu
pole luvPole mie nishashuka juu ya kilima huku nilikokuwa natafuta network