Hadi na mimi?Jamaaaniii
Mlale unono woote, Nawapenda tuu mjue
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda alikuwa anatania bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kajitahidi saaana, kuna nyingine hiyoo duuu
HahahaMara paaap network inasumbua nikasema huyu mtu yupo milimani au
Acha nirudi kule tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]
Ujue umemkosea sana kichwa kichafu jaman [emoji1][emoji1][emoji1]
Sio kwa upendo huoooo jamaniiKweli dada yote kukupenda tu ujue
Yaani bora alivyoacha kwa kweli tungeumizana vichwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]Hebu Niambiee ni nini kile!!!! Bado akatowekaa
No comment kwa leo dada yangu!Nisamehe kichwa kisafi! sina nia mbaya [emoji22] Humu ndani sahz tunaulizana jinsia kwanza si unajua tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] tunakupenda pia dada Yesu akutunze tu jamaan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Yuko Songwe
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Sio kwa upendo huoooo jamanii
Teh teh teh mkuu unafika na hukuKumbe mambo iko huku? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]twende ukanywe fursana upunguze machungu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu utani sawa mtu akung'oe meno hafu anakupa zawadi ya mswaki. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kesho ulete vitu vya kuelewekaAcha hizo mambo
DJ sepetu
Apunguze mdomo sasaaa, hata sie tunamvumiliaAkisusiwa uzi utakuwa hauna mvuto
Umesahau na jana eeehh, niitishe mgomo uoneeAcha hizo mambo
DJ sepetu
Huyu itakuwa katufuata nyuma nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh teh mkuu unafika na huku