Kweli huyo baki nae wewe tu akutunze mwenyeweHahaha Haya bhana[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Dj anaendelea kumsubiri mtu wakeNaona Dj.anazidi kuchomeshwa mahindi.
[emoji23][emoji23][emoji23]hata sijuiKwahiyo vibibi gagula wenzetu hawatakiwi kwenye interview eenh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mama umetubu hadi na jina umembatiza jipyaNisamehe kichwa kisafi! sina nia mbaya [emoji22] Humu ndani sahz tunaulizana jinsia kwanza si unajua tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
We love u too babeJamaaaniii
Mlale unono woote, Nawapenda tuu mjue
Hallelujah[emoji125] [emoji125] naenda kwa Yesu
DJ sepetu
Ila jana stable woman alikuwa ana 29[emoji23][emoji23][emoji23]hata sijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mama umetubu hadi na jina umembatiza jipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko kuleNumbi...popote ulipo mungu anakuona,
kwa nini ulitabiri kubuma kwa intaviuu
wewe c ulishaga, embu nenda ndani kelee ndoa huko mfyuuHahaha
Yuko Songwe
Tena ndoa ni changa eti
Sawa babe
Ulivyoitikia kwa nidhamu dadaSawa babe
Tayari Nina ratiba naye mbona very soon atakuwepo na mkataba ashasaini!Ngoja nikabishane tu na cococchanel kwenye siasa
Halafu muosha rungu umuchomoe cocochanel tumuweke kwenye kikango, tujue umahiri wa kumshabikia bashite