[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wananiandama kweli hawa washikaji zangu au avatar inawadanganya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] avatar zako ujueWananiandama kweli hawa washikaji zangu au avatar inawadanganya
Hiyo niya toka mwaka 1976[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] avatar zako ujue
MfyuuuuuuHiyo niya toka mwaka 1976
Kweli alfu ngoja niitoe inanichoreshaMfyuuuuuu
Yah ni kweli kuwa wazi kuna faida zake nyingi na hasara pia! Umenifumbua macho kuhusu maoni yako next time nitafunguka zaidi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ndio huo avatar asilimia kubwa muonekano wa mtu upo hivyoKweli alfu ngoja niitoe inanichoresha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unafatilia kumbe kimyakimya
Naiondoa sasa hiviUkweli ndio huo avatar asilimia kubwa muonekano wa mtu upo hivyo
Mawazo yangu kumbe ya kidingi sana ila hata hivyo mm age imeenda kidogoHa ha ha, mara moja moja nikipata muda.
Huo uzi wa Benjamin niliufungua siku moja ndo kuona jamaa kaandika ndo kamaliza F6, mwanzo nilijua ni jamaa mkubwa.
Duh..uyo mdau nae jau sana ananivua nguo sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unafatilia kumbe kimyakimya
Ahahhh me avatar aliyotoa ndio nilihisi Sergio age ile sawa na mdogo wanguHa ha ha, mara moja moja nikipata muda.
Huo uzi wa Benjamin niliufungua siku moja ndo kuona jamaa kaandika ndo kamaliza F6, mwanzo nilijua ni jamaa mkubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naiondoa sasa hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh..uyo mdau nae jau sana ananivua nguo sasa
Ni fake na haina uhalisia wowote ile avatarAhahhh me avatar aliyotoa ndio nilihisi Sergio age ile sawa na mdogo wangu
Mtafanya ni pakimbie humu jamaani[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mawazo yangu kumbe ya kidingi sana ila hata hivyo mm age imeenda kidogo
Ahahhh me avatar aliyotoa ndio nilihisi Sergio age ile sawa na mdogo wangu
Kweli kabisaMara nyingi Avatar na majina vinakuwa na reflection ya real life.