MamboWengine huwa tupo mawindoni ubuyu umetupita pembeni.
Warembo tu ndio wananileta humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeehh kumbeWengine huwa tupo mawindoni ubuyu umetupita pembeni.
Warembo tu ndio wananileta humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naunga mkono hoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu lazima kila muintaviwa aweke picha yake...sio linakuja dume hapa na mindevu yake unaliintaviu tunadhan dada..
Safi sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Ubuyu hautakuacha salama
Natania Emmyta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]. Nimeitwa lakini ujue mana sikuwa na hili wala lile.
Ngoja niendelee kusubiri dada mana naona pages zinazidi kuenda tuUmeanza sasa subiri jaman
Nilijua intavyuu imehamia kwako nilitaka kuzimia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu endelea interview na Natural girls.
Unaweza sababisha fans wako wakasahau interview ya huyo bebe.
Asante babyPole kwa ban
Ulikinukisha wapi baby!
DJ sepetu
We emmyta Mungu anakuona. Mi nipo nazurura jf am to pm,mchana na usiku,mvua na jua humu hymy jf[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sio huku pekee ujue hata majukwaani sipishani na wewe kabisa my dear.
Nakuona nakuona na ww upo team shilawadu sikuhzNatania Emmyta
[emoji257]Uwe unaniwahia
Au aendelee na mimi wakati tunamsubiriNgoja niendelee kusubiri dada mana naona pages zinazidi kuenda tu
[emoji386] [emoji386] [emoji387]Uwe unaniwahia
Uwe unaniwahia
Exactly!Nakuona na mimi kichwa kichafu upo busy kuchangamkia fursa
Shikamoo jiraniMambo
I missed you more kipenzi changu ...naona umebadili jinaSweet I miss u..Baby J