Natural hair is beautiful

Natural hair is beautiful

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Kumbe nywele zetu zikitunzwa vizuri zinaweza kuwa ndefu kabisa. Huwa ninamfuatilia huyu dada Youtube, ni Mkenya anaishi Australia. Angalia nywele zake zilivyo ndefu na hapo ni bila dawa ya aina yoyote ile. Wengi wetu huwa hatujui namna ya kutunza nywele zetu vizuri na mwisho wake tunaishia kuziharibu na dawa.

We can learn a thing a two from this beautiful lady here. African hair can grow, tusidanganyike. I see a lot of women going back to natural nowdays which is a really good thing. Ukishaelewa nywele yako vizuri then ukaipa kile inachohitaji in terms of treatment, products and styling i'm sure matokeo yatakuwa mazuri sana. It takes time ndio lakini jambo la muhimu ni kwamba, focus on health then length will follow.

Angalia video:
 
Tatizo wadada sijawahi waona wenye nywele kufika viunoni (tuwatoe watu wa asia huko)

kuna vidada kama vitatu "dada angu akiwa mmoja wapo"

mwaka wa 20 sasa ila nywele iko pale pale shingoni

Rasta ndio kila siku bado mnatumia,sasa kuna faida gani ya nyie kufuga nywele

Natural hair ziwe short za kuchana,ila hizo refu aaaah tunadanganyana tuu
 
Naombeni mnisaidie mafuta mazuri ya kulainisha kipilipili changu ili nikichana nisiumie!
 
Naombeni mnisaidie mafuta mazuri ya kulainisha kipilipili changu ili nikichana nisiumie!
Tafuta leave in conditioner na mafuta ya parachichi pia kua na mfumo wa matunzo ya nywele u won't regret(hair care regimen)
 
Naombeni mnisaidie mafuta mazuri ya kulainisha kipilipili changu ili nikichana nisiumie!
Hakuna kitu kina lainisha kipilipili chako lakini lazima uwe na formula unaifuata, kwanza jua nywele zako ni type gani kuna type 1 hadi 4,hakikisha hauchani nywele zikiwa kavu, weka maji, paka mafuta then chana, uwe pia unazifanyia treatment(conditioning) nywele zako bongo tunaita kufanya steaming angalau hata kwa mwezi mara mbili.Hakikisha hulali bila kuzifunga mabutu, fuata njia moja wapo. samahani kwa kuchanganya lugha
 
Back
Top Bottom